DARAJA LA KIGAMBONI LAZINDULIWA RASMI
Mh.Raisi wa jamuhuri ya Muungano Tanzania John Pombe Magufuri amezundua rasmi Daraja la Kigamboni leo tar 19/04/2016
ambalo lilikuwa likisubiliwa kwa mda mrefu na wananchi hili kuweza kupata hunafuu wa kutoka seemu moja kwenda sehemu nyingine
katika uzinduzi huo Mh.Rais amesema kuwa Daraja hilo litatumika kwa utaratibu wa kuchangia
wakati watu wakiwa wanalitumia
hata hivyo mh.Rais akiwa ameonyesha moja ya zamira ya kuwasaidia watanzania wale watakao tembea na miguu ambao hawatalipa nauli yoyote
hila kwa wale watakao pita na Vyombo vya moto kama Magari,Pikipiki, Bajaji Pamoja na wale watakao Pita na Baiskel,Buta hao watalipia kiasi kitakacho pangwa na Serekali.








No comments:
Post a Comment