Hii ni ajari ya Daladala hiliyo tokea Tabata mawenzi,na hinasemekana ajali hii himetokana na Dereva ambaye alikuwa anaendesha kwani alikuwa ni konda na sio Dereve mwenyewe,hisemekana kuwa Dereva alimwachia konda wake akageuze gari kwania njema kabisa lakini kama tunavyojua mda mwingine huuni au ujanja ukizidi huwa upumbavu au ujinga,Madereva wengi huwa wanaeshimu kazi zao shida ni kwa yule ambaye bado ajawa dereva ni shida,tuwe na ubinadamu kama ujuaji fanya ukiwa peke yako tena kwa mali yako.
No comments:
Post a Comment