Saturday, September 6, 2014

AJALI MUSOMA-Hizi ni Baazi ya picha za ajali hiliyo tokea huko Musoma,Nchini Tanzania

Ajali hainamwenyewe na hili ni janga letu wote,hakuna kitu kibaya kama kulaumu, wakati jambo limesha tokea,tunachotakiwa kujifunza kuwa wamoja kwa kila jambo,maana tunajua tunacho kifanya,tukiwa na tabia  kila mmoja ni mlinzi wa mwenzie hii hinaweza kutusaidia Baazi ya matukio kupungua.




No comments: