hinasemekana watu takribani 60 wamesha huwawa Nchini Burundi huku mapigano yakiwa yanaenderea hivi tujiulize sana kwanini mambo haya hujitokeza katika Nchi tofauti tofauti
mpaka hinatokea watu wasio kuwa na hatia kupoteza maisha himefika wakati kusimama na kukemea hali hii na nijambo linalo wezekana, kuna mambo ukiyalealea mwisho wake huwa mbaya sana tuwe makini sana na kukemea, tukumbuke mambo kama haya yakitokea wenye fedha na uwezo huwa wanakimbia kutoka Nchi moja kwenda nyingine na hapo ndipo wanapopata tabu Bibi ,Babu,Watoto, wakongwe,wajawazito, wagonjwa nk.
hii yote ni kwa sababu ya kulealea mambo mpaka yanaota mizizi iliyokomaa
hona picha hizi za matukio ya huko Burundi kutokana na mapigano yanayo Endelea hivi sasa







No comments:
Post a Comment