Raisi wa Zimbabwe hakifikiria kumpa mkono King of Zulu Baada ya matukio yalio tokea Nchin South Africa kati ya Wananchi wa SouthAfrica waliosadikiwa kuwachoma MotoWananchi Wazimbabwe na Mataifa mengine! kama ni kweli nifedhea na haibu kwa Taifa la South Africa kwa Wananchi kujichukulia sheria mikononi mwao.

No comments:
Post a Comment