Walemavu Wakaa Barabarani
mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi akiongea na Walemavu walio kuwa wameleta mshangao kwa watu Baada ya kukaa katikati ya Barabara ya Kawawa na Uhuru Mjini Dar es Salaam ILALA siku ya Tarehe 21/05/2015 walemavu hawa walidai kuwa sababu ya kukaa Barabarani hili waweze kufikisha ujumbe wao kwa wausika Baada ya kubomolewa Vibanda vyao vya Biashara wataishi vip.



No comments:
Post a Comment