Tuesday, July 7, 2015

                                        WEMA SEPETU KUBADILISHA MAISHA YAKE
hinasemekana kuwa Wema Sepetu anatarajia kugombea Ubunge Viti Maalumu hii ni kutokana na maneno ya watu kila kona na kama ni kweli hii itakuwa heri kwa familia na hata kwa Taifa kwa Ujumla
kubadilika katika Maisha ni jambo la heri Endapo kama Ukijua Unacho fanya huyu ni Wema Sepetu Ambaye ni Msanii wa Filamu lakini inasemekana mwaka huu naye anatarajia kuingia kwenye kinyanganyiro cha kugombea nafasi ya Ubunge Mkoa wa Singidal .

Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Abraham Sepetu leo June 16 kupitia kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM amefunguka kuhusiana na kuchukua fomu ya ubunge wa viti maalumu mkoani Singida.

No comments: