Tuesday, July 7, 2015

       hawa ndio walichukua fomu ya kutia nia ya kutaka kuingia katika kinyakanyiro cha   kugombea  Uraisi   
                                           kwa mwaka huu kati ya wagombea 42 mpaka sasa.


Nakumbuka maneno ya Baba wa Taifa Juliasi kambarage Nyerere alisema ,Nawaambia nyote si chama tawala na wala si chama pizani kuweni makini katika kumteua mgombea Uraisi
amesema Msisubutu kumchagua mtu mnaye mtaka nyinyi hasa chama tawala maana mkifanya hivyo mnaweza kutoa machozi na yakakosa mtu wa kuyafuta machozi hayo,nawaambia muhuteue mtu ambaye anakubalika Nje kwa Wananchi na Ndani na hio ndio kinga ya Usalama katika Chama na Taifa kwa Ujumla.














No comments: