jamani tujichunge ndio kwanza mwezi wa 9 Bado tunamiezi 3 kumaliza mwaka.
Msamaria Mmoja hamesikika akisema kwa mawazo yake kuwa ajarinyingine husababishwa na wanausalama Barabarani,
halitoa sababu ya kusema hivyo kuwa Madereva wengi wanapokamatwa kamatwa Barabarani ndio chanzo cha Dereva kwenda mwendo kasi hili kufidia mda ambao alioupoteza
Msamaria mwema huyo kwa mawazo yake amesema ni vyema kutazamwe hutaratibu mwingine hili kuweza kutatua tatizo la ajali ambazo zinatokea maeneo mbalimbali hasa kwa Magari yanayoenda Mikoani.
No comments:
Post a Comment