Monday, September 8, 2014

Ajari nyingine tena leo Kilosa.

Ajari nyingine tena leo Tarehe 8 mwezi huu wa 9,himetokea maeneo  ya Kilosa kijiji cha Gairo,
 ndani ya mahafa hayo  himesemekana  watu 35 wamejeruhiwa,na watu 4  wamefariki Dunia.





No comments: