Usishangae utakapo fika MOSHI Mkoa wa Kilimanjaro
Biashara kwao ndio Utamaduni ndio maana kijana kama huyu anauza magazeti,hapa ni Stendi kuu ya Moshi Umeshawai fika Moshi, Nipazuri sana na watu wake niwakarimu na wapenda maendeleo, niwachapa kazi na wenye Tabia ya kusaidiana Mkoa huu huna makabila maharufu WAPARE,WACHAGA.
No comments:
Post a Comment