Tuesday, August 26, 2014

Mwone mtoto huyu akifamya biashara, je wewe ungeweza?

Sina huakika kama mtoto huyu amemaliza Darasa la saba
hili ni swala la kujiuliza wote maana kuna watu wamezoea kuwalaumu viongozi
huyu mtoto anatafuta riziki bila kujua hapo baadaye hitakuaje
na hinawezekana anategemewa na familia, au ndio hule msemo Unaosemwa
kila mtoto ankuja na riziki yake?

No comments: