Saturday, September 26, 2015



KAULI ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo yazua hutata “CCM haitafanya makosa  kukabidhi Ikulu kwa wapinzani”

 kauli hio hilimfanya Mwenyekiti wa Chama Pinzani Freeman Mbowe kutoa kauli
Akizungumza Freeman Mbowe amemtaka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva kukemea kauli hiyo.
Pamoja na hivyo Mbowe ameitaka CCM kufuta kauli kwa kuwa ni ya uchochezi ambayo inatoa tafisiri ya kutokuwepo umuhimu wa kufanya uchaguzi.
Mbowe amesema kuwa, tangu kutolewa kwa kauli hiyo, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na NEC wala kiongozi yoyote wa CCM aliyekemea au kuzungumzia na kuwa “inaonekana ni mipango ya chama hicho.”
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Abdallah Bulembo

No comments: