Kamanda wa Polisi Jafari Mohamed amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Asema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema mh.MTIKILA amefariki saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa, Chalinze.
Amesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba
walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.
Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Tumbi.

No comments:
Post a Comment