Saturday, October 11, 2014

Barabara hiingiayo mjini,leo Tarehe 11/10/2014


 hii ni Barabara yaUhuru hikifanyiwa Ukarabati,hata hivyo baadhi ya watu wemesikika wakisema Barabara hii ni Barabara kubwa sana marekebisho yanayo fanyika nimazuri lakini yanaweza yasisaidie sana kwani  Barabara hii hingetanuliwa zaidi ya hapo raha utafutwe mbadala wake hatakama kuweka Barabara za juu.
hili ni Eneo kati ya karume na shule ya uhuru Dar es Salaam.
.









No comments: