Maeneo haya ni maeneo yaTabata Mawenzi na Savana kwa kweli yanasikitisha kwa Uchafu ulio kithiri ,ni sio huku tu Tabata kunamaeneo mengi sana yamekithiri kwa Uchafu hapa Dar es Salaam
Ninacho jiuriza kwanini Baazi ya Mikoa hapa hapa Tanzania wanaweza kuzibiti Uchafu hata Baazi ya nchi nyingine wanaweza kuzibiti Uchafu, sisi ni wapi tunashindwa au tunakosea.
No comments:
Post a Comment