Tuesday, July 28, 2015


                                             Edward Luassa Azibitisha Maamuzi Magumu .

Baazi ya Watanzania waliokuwa katika wakati mgumu wa sitofahamu kuhusu Edward Luwassa kwa kukaa kwake kimya Baada ya kukatwa jina lake kila mmoja akisema lake
Sasa Ukweli umebainika Baada ya mh Edward Luwassa kukabiziwa Kadi ya Chadema leo Tar-28/7/2015 huu ndio ukweli kuhusu Luwassa.
                                                   


No comments: